• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 14 December 2017

    Amuua mke mwenza na kumzika shambani

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Muandamizi wa Polisi (SACP), Augusine Ollomi amesema picha zinazoendelea kusambaa mtandaoni zikionyesha askari Polisi wilayani Ngara Mkoani Kagera wakishirikiana na wananchi kufukua mwili
    Maaskari wakifukua mwili wa Noelina aliyeuliwa na mke mwenza
    wa marehemu Noelina Joseph mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa  kijiji cha mayenzi wilayani humo ni tukio la kweli.
    Noelina Joseph (24) mkazi wa kijiji cha Mayenzi wilayani humo aliyeuawa na mke mwenza jana na kuzikwa kwenye shamba la viazi kutokana na wivu wa kimapenzi baada ya kuolewa na mume mmoja kijini humo

    “Ni kweli tukio hilo limetokea huko Ngara na tayari maafisa wetu wapo eneo la tukio ila bado uchunguzi zaidi haujafanyika ndio tunaendelea nao” ,amesema kamanda Ollomi.
     Mke mwenza anayetuhumiwa kufanya tukio hilo akiwa chini ya ulinzi wa polisi

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI