Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Total , Momar Nguer kuhusu mradi wa Bomba la Mafuta. Ambapo ameitaka kampuni hiyo kuharakisha ujenzi wa bomba la mafuta.
Created By Sora Templates
Created By Bongotech
No comments:
Post a Comment