• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 11 December 2017

    Lazaro Nyalandu amuandikia ujumbe Mzito Magufuli

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini leo Disemba 11, 2017 ametuma salamu za pole kwa Rais John Pombe Magufuli kufuatia vifo vya askari 14 wa JWTZ waliouawa nchini DRC Congo na miili yao kusafirishwa na kuwasili leo Tanzania.
    Nyalandu ametumia ukurasa wake wa Facebook kutuma salamu zake za pole kwa Rais Magufuli na familia mbalimbali za askari hao waliouwawa na wale waliojeruhiwa katika mapigano makali yaliyotokea nchini DRC Congo Disemba 7 na 8 kati ya askari wa Tanzania na Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) yaliyopelekea askari hao 14 wa Tanzania kupoteza maisha huku wengine 44 wakiwa wamejeruhiwa na wawili wengine mpaka sasa hawajulikani walipo.
    "Natoa pole kwa Mhe. Rais Magufuli na wanafamilia wote kufuatia kuuawa kwa maaskari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)" alindika Nyalandu 

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI