Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mh. Charles Mwijage amewateua
wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mbolea Tanzania TFC kwa
kipindi cha miaka mitatu kuanzia Disemba 1 2017.
Aidha bodi hiyo inategemea kuzinduliwa tarehe 11 mwezi huu katika wizzara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dodoma
Majina ya Wajumbe wa Bodi waliochaguliwa haya hapa chini
No comments:
Post a Comment