Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
Simon Sirro (kulia), akizungumza na Balozi wa Ufilipino hapa nchini
Mhe.Uriel Norman R. Garibay, mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya
aliyefika Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo
la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia
wamejadiliana masuala mbalimbali ikiwamo Usalama pamoja na kuendeleza
ushirikiano
IGP Simon Sirro, akiwa katika
picha na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay,
mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya pamoja na ujumbe alioongozananao
Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la
kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia
wamejadiliana masuala mbalimbali ikiwamo Usalama pamoja na kuendeleza
ushirikiano..
Balozi wa Ufilipino hapa nchini
Mhe.Uriel Norman R. Garibay (kushoto), mwenye Makazi yake Nairobi nchini
Kenya, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon
Sirro, wakati alipofika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la
kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia
ametumia fursa hiyo kujadiliana masula ya Kiusalama.
Picha na Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment