Moto mkubwa unawaka eneo la Buguruni kwa Mnyamani baada ya mafundi wa
Dawasco kutoboa bomba la gesi kutoka Mtwara kimakosa, na kuleta madhara
kwa nyumba za jirani.
Kamanda Kitalika ameendelea kwa kusema kwamba wameshawasiliana na watu wa Mtwara na kufunga bomba hilo, ili kupunguza kasi ya gesi, na kufanikiwa kwani mpaka sasa kasi ya moto imeanza kupungua.
Kamanda Kitalika amesema mpaka sasa hakuna taarifa ya kifo au majeruhi yeyeote, lakini kumeripotiwa kuwa nyumba za maeneo ya jirani zimeshika moto huo lakini kikosi cha zimamoto kinaendelea na jitihada za kuzima.
No comments:
Post a Comment