Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magesa amesema suala la
kuwapa mimba wanafunzi limekuwa na utata kwenye sheria, lakini sasa
wamegundua njia mbadala ya kuwabaini wahusika wanaokatisha masomo ya
wanafunzi.
'Watu wa DNA wanakuja hapa, tunasubiri tu wale watoto wajifungue halafu sisi tuthibitishe kwamba DNA yako na yule mtoto ni wewe”, amesema Mhandisi Magesa
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto amaefikia uamuzi huo baada ya kuwepo na taarifa za kuwepo kwa wanafunzi 159 waliopewa ujauzito na kukatisha masomo
No comments:
Post a Comment