• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday 30 January 2018

    WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AREJEA NYUMBANI KUTOKA ADIS ABABA ETHIOPIA

    PMO_5500
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, kwenye Hoteli ya Radisson Blue, mjini Addis Ababa, wakati akiondoka kurejea Dar es salaam, kushoto ni Mke wa Salim Ahmed salim, Amne Salim, Waziri Mkuu alikua Ethiopia kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli  kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    PMO_5501 PMO_5544
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiagana na Rais wa Comoros, Azali Assoumani, ndani ya ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakiwa wanarejea kutoka kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja AU, Januari 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    PMO_5558
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, nje ya ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakati akiwasili kutoka kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja AU, Januari 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI