• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 6 March 2018

    Baraza za Madiwani Ya Almashauri ya Kinondoni Wapitisha Bajeti ya Mwaka 2018/2019

    Baraza la Madiwani Wa Almashauri ya Manispaa ya Kinondoni Wamefanya Mkutano Wa Baraza la Madiwani Ambalo limepitisha na kupitia Makadirio ya Mapato ya  na matumizi ya kwaida na mpango Wa Maendeleo Kwa mwaka2018/2019 Ambapo Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inatarajia kukusanya kiasi cha Tshs 242,186,292,987.00 ambapo Tshs 686,380,000.00. Sawa na  0.3 no mchango Wa Jamii na Tshs. 32,062,704,908,00 sawa na 13.2% ni Mapatoya ndani ya Manispaa

    Aidha katika Fedha hizo Halmashuri ya hiyo inatarajia kukusanya kiasi cha Tshs 32,749,084,908.00 kutoka vyanzo vyake vya ndani amabapo Tshs 16,392,166,400.00 zitatumika Kwa matumizi ya kawaida na Tshs 16,356,913,913,508.00 zinatumika Kwa ajili ya miradi ya maendeleo na fedhanza ruzuku kutoka Serikali kuu,ni Tshs 209,436,208,079.00 zitakazojuisha kiasi cha Tshs 103,934,539,473.00 Kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Tshs 105,501,668,606.00 Kwa ajili ya Miradi ya maedendeleo


    Maeneo  yaliyopewa kipaumbele katika mpangohuu ni pamoja na kuimarisha ukusanyaji wapato Manispaa, kuboresha miundombinu ya kiafya,shule za msingi na Sekondari  kuboresha miondombinu ya maji,Barabara na kilimo.

    Hata hivyo almshauri ya Manispaa ya Kinondoni itaimaeisha mausiano na Serikali na Mashirika  yasiyo  ya kiserikali

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI