• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 3 November 2016

    YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO ASUBUHI

    ya
    ya
    Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
    ya1
    ya2
    ya3
    ya4
    ya5
    ya6
    ya7
    ya1
    Naibu Spika wa  la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni kuongoza katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
    ya8
    ya2ya8Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza   kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
    ya9
    ya7ya6Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
    ya10
    ya5ya4ya3Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na  Mhe. Prof Makame   (kushoto) pamoja na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
    ya11
    ya10ya9Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kipindi cha maswali ya moja kwa moja kwake wakati wa kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
    ya12
    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na kiako cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI