Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan amefanya mazungumzo na Mabalozi wa Nchini za Uingereza, Oman na
China hapa nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke
ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa mazungumzo,Ikulu jijini
Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Balozi wa Oman nchini Mhe. Ali A. Al Mahruqi
ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe.Wang Ke ambaye alifika
ofisini kwa Makamu wa Rais kujitambulisha,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment