• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 21 September 2016

    29 wafariki baada ya boti kuzama


    Boti iliojaa wahamiaji ikizamaImage copyrightMARINA MILITARE
    Image captionBoti iliojaa wahamiaji ikizama
    Takriban watu 29 wamekufa maji baada ya boti ya wahamiaji kuzama karibu na pwani ya Misri,kulingana na maafisa.
    Boti hiyo ilikuwa imewabeba abiria 600,ambao kati yao 150 wameokolewa ,kulingana na chombo cha habari cha taifa hilo.
    Kisa hicho kilitokea karibu na pwani ya Kafr al-Sheikh,maafisa wanasema.
    Tukio hilo la siku ya Jumatano linajiri wakati ambapo muungano wa Ulaya umeonya kwamba wahamiaji wanaolekea Ulaya wanatumia Misri kama mwanzo wa safari yao.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI