• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday, 29 October 2016

    KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA.CCM (NEC) ZANZIBAR


    1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mara alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),
    2
    2Rais  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),
    3
    3Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)
    4
    4Rais wa Zanzibar na  wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Balozi Seif Ali Iddi,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe,Vuai AliVuai
    5
    5Wajumbe wa kikao  siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho,Mwenyekiti wake akiwa    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kikao hicho  kimefanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
    6
    6Wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho,Mwenyekiti wake akiwa    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kikao hicho  kimefanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
    7
    7
    Wajumbe wa Sekretarieti ya  Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho cha siku moja kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI