• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday, 29 October 2016

    KILELE CHA IKUNGI HALF MARATHON 2016 CHARINDIMA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA


    Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akishiriki
    kutazama washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika
    Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi pembeni yake ni
    Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na Hassan Tati Mwenyekiti
    wa CCM Wilaya ya Ikungi

    Wananchi wakifatilia kwa makini Ikungi Half Marathon katika 
    maeneo yao vijiji vyao

    Washiriki wa Ikungi Half Marathon wakianza kukimbia Riadha katika Kijiji cha Kimbwi

     Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakitazama namna wakimbiaji wanavyowasili katika uwanja wa shule Ya Sekondari Ikungi

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI