MKuu wa wilaya ya kinondoni amefanya ziara ya kutemblea kata ya kunduchi ambako amegundua matatitizo kwa wananchi yanayo sababishwa na wenyeviti wa serikali la za mitaa na wajumbe.
hata hivyo mkuu wa wilaya alishangazwa na uongozi wa kata hiyo kufanya kazi kiholela na wengine kukaa nyumbani wiki bila ya kutokea ofisini, pia wajumbe kutokua makini katika kuwahudumia wananchi bali wanashirikiana na wenyeviti kuuza ardhi kinyume na sheria
Mmoja wa wajume hao alipata nafasi ya kujitetea akasema....... hizi tuhuma tunazo pewa sio sahihi huu ubaya ulifavywa na viongozi wengine walio pita
baada ya mkuu wa wilaya alitoa angalizo kua mambo yote yatachunguzwa yakigundulika kua yamefanyika kipindi chake yeye viongozi hao watafikishwa sehemu husika kwa makosa ya kuuza ardhi na kula kodi za masoko
baada ya hapo mku wa wilaya alipata nafasi ya kwenda kuzungumza na wananchi aliwapa fursa ya kusema kero zao ..kero walizo wasilisha wananchi ni uwepo wa gurio eneo la soko baaadhi ya wananchi wanaofanya biashara wanapata wakati mgumu sana maana gulio linapoanza vitu ni bei ya chini mpaka waliopo masokoni wanokosa wateja
mkuu wa wilaya baada ya kupata malalamiko hayo aliamrisha kuvujwa kwa gurio hilo maana limekua kero ya miaka 10 katika kata hiyo ndipo alipo wataka wananchi kua na uomoja na kujenga taifa wote kwa paomoja.
No comments:
Post a Comment