• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 27 October 2016

    PROF. MBARAWA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UNITED ARAB EMIRATES


    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na ujumbe kutoka United Arab Emirates pamoja na Watendaji wa Wizara hiyo katika kikao cha kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini, kilichofanyika wizarani hapo jijini Dar es salaam.
    ema2
    ema1
    na Mawasiliano, Prof.  Mbarawa (kulia), akimsikiliza mmoja kati ya wajumbe waliotembelea Wizarani hapo kutoka United Arab Emirates kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.
    ema3
    ema2
    Ujumbe kutoka United Arab Emirates ukimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), katika kikao kilichofanyika Wizarani hapo kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.
    ema4
    ema3
    Baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na  wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), katika kikao cha pamoja na ujumbe kutoka United Arab Emirates kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI