• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 20 October 2016

    TAHADHALI YA UKAME WA CHAKULA NCHINI



    z3
    Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi Msuya akifafanua jambo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliohusu utoaji wa tahadhali ya hali ya Ukame utakaosababisha kukosekana kwa chakula kwa baadhi ya maeneo nchini Oktoba 20, 2016. Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano ofisi hiyo.
    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bw. Paschal Waniha (wa kwanza kushoto) akitoa hoja za masuala ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa katika kujiandaa kukabili maafa wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Oktoba 20, 2016.
    z4A
    Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bi. Marystela Mtalo akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa kuhifadhi chakula na kulima mazao yenye kustahimili ukame wakati wa mkutano wa waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu 20 Oktoba, 2016.
    z2
    Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi Msuya (hayupo pichani) wakati wa mkutano na wanahabari hao katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 20 Oktoba, 2016z1

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI