• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 3 November 2016

    CHAKALE DHAHABU TAMASHA LA UTAMADUNI LITAKALO KUTANISHA MAKABILA ZAIDI ZAIDI YA 100 NA MACHIFU

    Mtaribu wa tamasha la ‘Kale ni
    Dhahabu’ ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Seree, Sabina Kaphipa
    akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na tamasha la
    utamaduni litakalowahusisha machifu zaidi ya 100 wa Tanzania. Pamoja nae ni Afisa Masoko, Anael Masasi
    Mtaribu wa tamasha la ‘Kale ni
    Dhahabu’ ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Seree, Sabina Kaphipa
    akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na tamasha la
    utamaduni litakalowahusisha machifu zaidi ya 100 wa Tanzania. Pamoja
    nae ni Afisa Masoko, Anael Masasi (kushoto) na Msemaji wa Tamasha hilo,
    Juma Mwajacho (kulia) pamoja na Mke wa Chief.
    Mtaribu
    wa tamasha la Kale ni Dhahabu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya
    Seree, Sabina Maro akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana
    kuhusu tamasha la utamaduni litakalowahusisha machifu zaidi ya 100 wa
    Tanzania.
     Logo ya tamasha

    Kampuni inayoandaa tamasha.

    Sabina Kaphipa akicheza ngoma na wasanii wa Kundi la sanaa Makumbusho. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI. 

     

    Mtaribu wa tamasha la ‘Kale ni
    Dhahabu’ ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Seree, Sabina Kaphipa
    akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na tamasha la
    utamaduni litakalowahusisha machifu zaidi ya 100 wa Tanzania. Pamoja
    nae ni Afisa Masoko, Anael Masasi (kushoto) na Msemaji wa Tamasha hilo,
    Juma Mwajacho (kulia)
    Juma Mwajasho ambaye ni msemaji wa tamasha hilo (kulia) akizungumza.
     
    Mtaribu wa tamasha la ‘Kale ni Dhahabu’ ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Seree, Sabina Kaphipa
    akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na tamasha la
    utamaduni litakalowahusisha machifu zaidi ya 100 wa Tanzania. Pamoja nae ni Afisa Masoko, Anael Masasi.


     ***************


    SEREEE Company Inayo furaha kuandaaa Tamamsha la
    kiutamaduni wa Mtanzania linaloitwa CHAKALE DHAHABU, kwa lengo  kuu la kudumisha tamaduni zetu na kufanya
    jamii ya Kitanzania kuishi kwa kufurahia utamaduni wake.
     
    SEREEE Company
    inaandaa tamasha la kwanza la CHAKALE DHAHABU ambalo litafanyika  katika jiji la Dar es salaam, litakua ni
    tamasha la siku nzima ambalo litafanyka katika viwanya vya Uhuru( Uwanja wa
    Taifa  tarehe 3 December na kufuatiwa na
    tukio jingine siku ya tarehe 4 december ambapo kutakua na chakula cha jioni
    katika hoteli ya Golden Tulip Dar es salaam.
     
    CHAKALE DHAHABU inalengo la kuwa ni tamasha
    ambalo litakua likifanyika kila mwaka likizunguka katika mikoa tofauti ndani ya
    nchi ya Tanzania.
     
    CHAKALE DHAHABU ni Tamasha lililo beba utamaduni
    wa kitanzania ambapo makabila yoye yatashiriki pamoja na machifu wao, Tamamsha
    litalinda na kuendeleza utamaduni wa mtanzania na Africa kwa ujumla.
     
    Tamasha limegawanyika katika burudani na
    shughuli mbalimbali za kiasili kama muziki,Ngoma,Chakula,Vinywaji,Mashairi,Hadithi,Matambiko
    pamoja na maonyesho ya bidhaa mbalimbali za kiasili. Zinazotengenezwa hapa
    Tanzania.
     
    Seree Company ni kampuni ya Kitanzania inayokua
    haraka katika nyanja  ya juandaa na
    kusimamia  burudani na Matamasha kwa
    mfano, Harusi,Sherehe za kifamilia,Sherehe za makampuni, na sherehe za
    Kiserikali. Dira yetu ni kuwaunganisha pamoja wazee,vijana na wazazi katika
    nyanja ya sanaa na utamaduni wetu ambao kwa namna moja au nyingine unaendelea
    kufifia.
     
    Tamasha litafanyika kwa monyesho kama ifuatavyo
     
    MACHIFU
    Machifu hawa ni viongozi wa kimila ambao ndio
    chimbuko la utamaduni wa Mtanzania
    walikuwepo kabla tawaza za kiserikali kuwepo  walisimamia na kuziendesha koo pamoja
    makabila, nafasi ya machifu katika tamasha la CHAKALE DHAHABU ni kutoa elimu
    kwa jamii kuacha kabisa tabia ya kuwauwa vikongwe na maalbino pia watatuonyesha
    jinsi matambiko yalivyokua yakifanyka kwa lengo la kukumbuka na kuielimisha
    jamii nzima ya watanzania.
     
    BURUDANI
    Patakua na Burudani ya muziki wa asili  pamoja na ngoma toka katika makabila tofauti
    ya Tanzania, pia patakua na hadithi toka kwa wasimulizi mahiri toka hapa
    Tanzania  pamoja ma mashaishi toka kwa
    malenga wetu.
     
    VYAKULA
    Kutakua na vyakula vya aina tofauti kutoka
    katika makabila tofauti ya Tanzania.
     
    Sereee campany inatoa shukrani za dhati kwa
    waandishi wa habari  kwakua  kupitia nyie Tamasha hili litakua na
    mafanikio .
     

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI