![]() | |
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akijibu swali leo Bungeni mjini Dodoma
|
Wizara
ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji pamoja na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wamefanikiwa
kuhamasisha baadhi ya wawekezaji kuwekeza katika sekta ya dawa za binadamu na
vifaa tiba ili kupunguza uagizaji wa dawa kutoka nje ya nchi.
Hayo
yamesemwa leo mjini Dodoma na Waziri wa wizara hiyo, Mhe. Charles Mwijage
alipokuwa akijibu swali la Mhe. Khadija Ali (Viti Maalum) aliyehitaji kufahamu
mpango wa Serikali wa kutumia malighafi zilizopo kuzalisha baadhi ya dawa na
vifaa tiba.

No comments:
Post a Comment