• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 7 November 2016

    RAIS DK. SHEIN ATEMBELEA BARABARA YA MGAGADU


    sei1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  Nd,Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi  viongozi wengine alipotembelea Ujenzi wa barabara ya Mgagadu-Kinanzini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea na kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
    sei2
    sei2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Afisa Mdhamini wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mohamed Baucha alipotembelea Ujenzi wa barabara ya Mgagadu-Kinanzini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea na kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
    sei3
    sei3Mkurugenzi wa Mfuko wa Barabara  Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Twahir akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
    sei4
    sei4Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum  ya kutembelea barabara hiyo leo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
    sei5
    Sheha wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya Mkoani Bibi Subira Mohamed Ali alipokuwa akizungumza kero za Shehia yake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
    sei6
    Baadhi ya Wananchi na Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
    sei7
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum  ya kutembelea barabara hiyo leo, (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe,Hamed Suleiman, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
    sei8

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI