• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 7 November 2016

    WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA


    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    taf3
    taf3taf2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   na wanakwaya wa  Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    taf4
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wanakwaya wa  Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    taf5
    taf5Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    taf6
    taf6Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju  akiteta na Mwanansheria  wa Serikali Mstaafu na Mbunge wa  Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na  ya Waziri Mkuu)
    taf7
    taf7
    Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azan Zugu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka  baada ya kuahirisha  kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba  7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    taf8
    taf8Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa  katika picha ya pamoja na   wa  Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kushoto  kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    taf9
    taf9Wabunge wakizungumza baada ya bunge kuahirishwa  mjini Dodoma Novemba 7, 2016  kufuatia kifo cha Spika Mstaafu,Samuel Sitta. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura,  Mbunge wa Viti Malum Felista Bura, Mbunge wa Viti Maalum, Shally Josepha Raymond, Mbunge wa Musoma Mjini Mathayo Manyinyi, Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi  na Tekinolojia, Mhandisi Stella Manyanya na Mbunge wa Busanda, Lolesia `Bukwimba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI