• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 25 November 2016

    RAISI MAGUFULI AMPINGIA SIMU RC MAKONDA KWENYE MKUTANO WA HADHARA

    Mkuu wa mkoa paul Makonda leo kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Maramba Mawili Makuti uliopo kata ya Mbezi RC Makonda amekutana na kero ya wananchi wakilalamikia kubomolewa nyumba zao na wakala wa barabara TANROADS kwa lengo la upanuzi wa barabara licha ya kudai kushinda kesi.

    Kero hiyo imempelekea RC Makonda kuwasiliana na Rais Magufuli kwa njia ya simu na akalitolea ufafanuzi suala hilo na mambo mabalimbali   akiwa kwenye kampeni ya Dar Mpya na kusikiliza kero za wananchi jiji dar es salaam wilwya ya ubungo .

    Hata hivyo Raisi magufuli amewataka wananchi kuto kiuka sheri iliopo kwani ni kosa Raisi Magufuli alitumia nafasi hiyo kumpokengeza mkuu wa mkoa kwa kazi kubwa anayo fanya  ya kusikiliza kero za wananchi katika maeneo mbalimbali na akimwahidi atakua pamoja katika kulijenga taifa imara. 

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI