![]() |
Mwazilishi wa WCRP mama Hindu Lilla aliyeanzisha harakati za kudai ustawi wa jamii kupitia kuipa changamoto Umoja wa Mataifa ili kuachana na vita ikiwa kina mama ndiyo wanaoathirika zaidi.
|
![]() |
Baadhi ya wageni waalikwa na viongozi mbalimbali wa taasisi za dini nchini ambao wameudhulia uzinduzi huo wa kipekee wa kuunganisha madhehebu ya dini nchini na kuwa na balaza moja lenye sauti.
|
![]() |
Naibu balozi wa Ujerumani nchini John Reyels akiongea nafasi ya ujerumani katika kuthamini umoja na ushirikiano wa dini mbalimbali kwani ndiyo wenye sauti kubwa katika kulilia Amani duniani kote.
|







No comments:
Post a Comment