Akizumgumza na wandishi wa habari jana jijini dar es salaam juu ya mgogoro wa chama cha cuf amewataka viongozi wawili hawa kuwa kitu kimoja chama hicho bila ya lipumba bado kitakua akijakamilika kutokana na katiba ya chama hicho ''asilema
Chama hichi ni cha wote kati ya lipumba na Maliim Sef wamini kua wanapo gombana bado hawajengi bali wanakiuwa chama Alisema
hata hivyo kiongozi huyo alishangwaza na mgogoro huo kwani katiba ipo wazi hakutabua wapi Lipumba alipo kosea aliendelea kusisitiza kua Maliim sefu ndie mwenye makosa sio lipumba amewataka kuamcha mara moja mgogoro huo kwa CUF ni chama na mbili baada ya CCM
No comments:
Post a Comment