Habari
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa salamu za mwaka mpya wa 2017 kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla,ambapo ameuombea kuwa mwaka wa mafanikio na Amani,salamu hizo alizotoa leo katika ukumbi wa Ukulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 31 DISEMBA 2016.
No comments:
Post a Comment