• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday 31 December 2016

    TRL WANATARAJIA KUFANYA UKARABATI WA NJIA YA RELI MWAKANI


    Shirika la Reli Tanzania (TRL), limetangaza kuanza mwkani watafanya  ukarabati wa njia ya reli itokayo Dar es Salaam kwenda pugu, yanayotarajia kuanza Jumatatu ijayo.

    Akizungumza na wandishi wahabari Jijini Naibu Mkurugenzi wa uendeshaji Focus Sahani kufuatia ukarabati huo, TRL imebadilisha ratiba ya safari zitakuwa mbili badala ya nne kama ilivyokuwa awali.

    ‘’Kwa sasa safari itakuwa ya asubihi saa 12  mwisho saa 8 mchana baada ya hapohili ambao  treni itapisha matengenezo .

    Sahani alisema, ukarabati huo unaotarajia kugharimu Sh. Billioni 7, unalenga kuimarisha njia hiyo eneo hilo ambalo linapitisha treni nyingi kwa siku kuliko ilivyozoeleka.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI