• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 14 December 2016

    Tumieni fursa zilizopo kuifanya sekta ya filamu kuwa chachu ya maendeleo nchini

    tulio
    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao (kulia) akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo
    tulio-1
    Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (katikati) akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao na kushoto ni Rais wa Shirikisho la Filamu Bw. Simon Mwakifwamba
    tulio-2
     Kaimu Afisa Utamaduni Mkoa wa Mara Bw. Sheikhdadi Said (kulia) akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao na Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo
    tulio-3
    Katibu wa chama cha waigizaji Mkoa wa Mara Bw. Jonson Bambai (aliyesimama) akichangia mada wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara.
    tulio-4
     Mtoa mada kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Richard Ndunguru akitoa mada ya uandishi wa miswada ya filamu na utafiti kwa wadau wa sekta ya filamu na michezo ya kuigiza wakati wa ufunguzi wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau hao leo Mkoani Mara.
    tulio-5
    Baadhi ya wadau wa sekta ya filamu na michezo ya kuigiza kutoa mkoa wa Mara wakifuatilia kwa makini mada zilizokua zikiendelea wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara.
    Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM, Mara

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI