• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 14 December 2016

    DC HAPI APOKEA MSAADA WA MADAWATI 80 KUTOKA KWA WAKALA WA MISITU KINONDONI.

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amepokea msaada wa madawati 80 yenye thamani ya shilingi milioni tano na laki sita kutoka kwa wakala wa misitu nchini kanda ya kinondoni 
    Hapi amesema kuwa ujio wa madawati hayo umeweza kuimrisha miundombinu ya elimu katika shuule za msingi kwa kuweza kufidia kwajili ya madawati yaliyo haribika katika kipindi hiki kifupi.
    “nichukue fursa hii kuwapongeza watu wa misitu kwa kuitikia wito wa rais Magufuli kwa kuona kuwa wao sio kwa ajili ya misiitu na nyuki pekee bali hata kwa jili ya maendeleo ya watoto wetu ambao wapo kinondoni na wanahitaji kusoma katika mazingira mazuri” amesema Hapi.
    Hapi ameongeza kuwa katika kipindi hiki kifupi wameweza kujenga shule mbili ambazo fedha za ujenzi huo zimetokana na mchango wa Rais  Dkt John Pombe Magufuli.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI