• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 19 December 2016

    Z4 MEDIA YAWASAKA WASANI WA MUZIKI

    Mwenyekiti wa  Z4news ametoa nafursa kwa vijana wanao imba muziki wa bongo flever  kujiunga kwenye kundi lake la muziki ili kuboresha zaidi wasani wachanga katika tasinia hiyo

    hata hivyo mwenye kiti alisema kua anatoa nafasi hiyo kwa vijana wawili bila ya kujali jinsia vijana watakao fanya muziki kama maisha yao pia wanamuziki hao wawe na ubunifu tofauti na wasani waliopo kwenye tasnia ''amesema

    ninawataka vijana wawili wenye uwezo wakuimba kila aina ya muziki na wanoa jua nini maana ya maisha mimi nina hajiri moja kwa moja nimetoa fursa hii kwa ajili ya kuleta mabadiliko mwaka ujao tukijaliwa uzima kwahiyo vijana naomba mjitokeze hili kuonyesha uwezo wenu ''amesema

    aliendelaea kusisitiza kua  yupo tayari muda wowote watakapo patikana wasanii  hao atawapeleka studio na kuwatabulisha kwenye tasnia ya muziki..



    Kwa mawasiliano  zaidi  piga 0658894174

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI