Licha ya kikwazo hicho ambayo kimedaiwa kimeigharimu kampuni hiyo dola bilioni 3, faida ya Samsung iliongezeka zaidi mwaka jana.
Kampuni hiyo imesema faida ya robo ya mwisho ya mwaka jana ilikuwa ni zaidi ya asilimia 50, na kiwango kikubwa zaidi katika miaka mitatu.
Wachambuzi wanasema faida nyingi zimetokana na biashara ya
No comments:
Post a Comment