• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 6 January 2017

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA MGODI WA MAKA YA MAWEWA NGAKA UNAO MILIKIWA NA TANCOUL ULIOPO NAGAKA WILAYA YA MBINGA MKOA WA RUVUMA

    godi
    godiWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi mkuu wa shirika la maendeleo la taifa (NDC) Mlingi Mkucha wakati alipotembelea mgodi wa makayamawe wa Ngaka unaomilikiwa na kampuni ya Tancoul uliopo wilayani Mbinga  kushoto kwa waziri mkuu ni Mwenyekiti wa bodi ya NDC Dr Samuel Nyantahe
    godi-1
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Tancoul Bwana Mark McAnderew  wakati alipotembelea mgodi wa makayamawewa Ngaka unaomilikiwa na kampuni ya Tancoul uliopo wilayani Mbinga  kushoto kwa waziri mkuu ni Mwenyekiti wa bodi ya NDC Dr Samuel Nyantahe
    godi-2
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ofisa Rasilimsilimali watu wa kampuni ya Tancoul Ms  Pendo Mweli wakati alipotembelea mgodi wa makayamawe unaomilikiwa na kampuni ya Tancoul uliopo Ngaka wilayani Mbinga  Mkoani Ruvuma
    godi-3
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia shughuli za uchimbaji wa makayamawe unavyo fanywa nakampuni ya Tancoul katika mgodi wa Ngaka uliopo wilayani Mbinga  kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la maendeleo la taifa NDC Dr Samuel Nyantahe
    godi-4
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mkawamawe ulivyo
    godi-5
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na mkuu wa mkoa wa Ruvama Mhandisi Mahenge pamoja naviongozi mbalimbali walipokuwa wanatemmbelea mgodi wa Ngaka

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI