Diwani wa kata ya Vingunguti Omary Said Kumbilamoto ametiamiza mwaka mmoja jana toka achaunguliwe kwenye kata hiyo hata hinvyo amelaza changa moto mbalimbali alizo zikuta na kuzitatua.
Akizungumza na wananchi wa kata hiyo jana juu ya mazito aliyo kutana nayo kwenye uongozi wake na alivyo kabiliana nayo "aliema
changamoto za ambazo nimejitahidi kutatua tatizo la wafanya biashara wa mbuzi ambao walitakiwa wahamishwe kupelekwa Pugu kwa kuangalia maslahi na vipato vya wakaziwa Vingunguti kuwa biashara hiyo itabaki vingunguti na itaendelea kama kawaida."amesema kumbilamoto
Katika kipindi cha mwaka mmoja ambapo lengo lilikuwa kutoa shukrani na kushukuru, Kumbilamoto hakusahau Nyanja nyingine nyeti ikiwemo nyanja ya Afya ambapo alijitahidi kuwapatia Ambulance moja katika Hospitali ya Vingunguti ambayo ameahidi kuwa mali ya wakazi wa eneo hilo.
Pia hakuacha Elimu ambapo alisaidia shule ya Sekondari Miembeni kuchangia kupatikana kwa Umeme hivyo wanafunzi kusoma bila matatizo , mambo mengine ambayo ameyagusia na kuyatolea ufafanuzi pamoja na Sekta ya afya alitoa Mashine mbili za kufulia mashuka katika Hospitali hiyo ,aliweza kushugulikia bomoa bomoa na haki ya wafanyabiashara katika machinjio ambapo damu ilikuwa inapotea kwa wenye haki hawapati haki hiyo hivyo yeye amelishughulikia na limekaa sawa.
No comments:
Post a Comment