• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 6 January 2017

    MBUNGE MUSSA WA TANGA AKABIDHI RANGI KWA AJILI YA UJENZI WA MADRASSA YA IKHILASWI

    kau-kii
     Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
    Alhaji Mussa Mbaruku kushoto akimkabidhi rangi Ustadhi wa Madrasat
    Ikhilaswi ,Ibrahim Hassani Mtaa wa Mwarongo Kata ya Marungu kwa ajili
    ujenzi wa msikiti huo
     Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akisoma risala yaMadrasat
    Ikhilaswi mara baada ya kukabidhiwa baada ya kwenda kuwatembelea na
    kukabidhi msaada wa makopo ya rangi kwa ajili ya ujenzi unaoendelea
    Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
    Alhaji Mussa Mbaruku akuzungumza na wanafunzi wa Madrasat Ikhilaswi
    wakati alipotembelea kuona changamoto wanazokabiliana nazo ikiwa ni
    ziara yake lakini pia aliwakabidhi makopo ya rangi
    Hili ni Jengo la Madrasat Ikhilaswi lililopo mtaa wa Mwarongo Kata ya Marungu Jijini Tanga muonekano wake

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI