• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 23 January 2017

    Rais Magufuli na Rais wa Erdogan wa Uturuki kwenye Mkutano wa Wawekezaji

    FULL
     Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe wakipokea mashada ya maua kutoka kwa watoto walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017 kwa mapokezi rasmi na mazungumzo na mwenyeji wao Rais Dkt John Pombe Magufuli.
    FULL 1
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwalaki Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe Emine Erdogan walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017 kwa mazungumzo
    FULL 2
    FULL 3
     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan wakipiga ngoma Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017
    FULL 4
     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwazawadia Kinyago cha Umoja na Mchoro wa Mlima Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe Emine Erdogan walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017 
    FULL 5
    Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na mke Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mama  Emine Erdogan wakipeana mikono baada ya maongezi  Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017 
    FULL 7
     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na akiongea katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam  leo Januari  23, 2017
    FULL 6
     Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan  akiongea baada ya yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli ushuhudia uwekaji saini mikataba mbalimbali ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na Uturuki Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017 
    FULL 8
    Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan  akiongea katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam  leo Januari  23, 2017
     
    FULL 10
    Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan  akiongea na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe  Magufuli katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam  leo Januari  23, 2017
    FULL 9
    Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan  na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe  Magufuli wakishuhudia ubadilishanaji hati baada ya kusaini baina ya mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa sekta binafsi Dkt Reginald Mengi na kiongozi wa msafara wa wafanyabiashara wa Uturuki katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam  leo Januari  23, 2017
     
    PICHA NA IKULU

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI