• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 24 January 2017

    Tamasha la sauti za busara linalotarajiwa kufanyika mjini Ngome Kongwe visiwani Zanzibar kuanzia Februari 9 hadi 12, 2017.

    DSC_7303Meneja wa Tamasha la Sauti za Busara, Journey Ramadhan amesema aliwasiliana na mwakilishi wa kikundi hicho kwa ajili ya kusaini mkataba huo bila ya mafanikio.

    "Yamoto Band tuwalingiza kwenye orodha na uamuzi wa kuwaondoa ulikua mgumu sababu awali tuliwatafuta na walikubali kushiriki ila dakika za mwisho walishindwa kutoa ushirikiano katika usainiwaji wa mkataba tuliowapa," amesema.

    Badhi ya bendi kutoka ndani ya nchi ambazo zitashiriki katika tamasha hilo ni pamoja na Afrijam, CAC Fusion, Jagwa Music, Tausi Women's Taarab, Usambaa Sanaa Group pamoja na Wahapahapa.

    Baadhi ya wasanii kutoka nje nchi wakazoshiriki  ni Bob Maghrib kutoka Morocco, Heart The Band kutoka Kenya, Buganda Music Ensemble kutoka Uganda na Imena Cultural Troup kutoka Rwanda

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI