
Akizungumza na waandishi wa habari kaimu Mkuu wa usafirishaji na reli Rashidi Ng'wani amesema kureje kwa safari hizo kuna fuatia kukamilikakwa matengenezo ya kutandika reli mpya katika eneo korofi kati ya stesheni za Ilala block post na karakata.
Aidha amesema kuwa safari za awamu ya asubuhi zitaendelea kuwa mbili tu kwa kuwa kazi ya ukarabati haijakamilika baadhi ya maeneo , kazi ya ukarabati wa reli ulianza January 2/ 2017.
Ameongeza kuwa ukarabati huu unalengo la kuimarisha njia ya reli katika eneo hilo ambalo kwasasa linapitisha train nyingi kwa siku kuliko ilivyokuwa imezoeleka hapo awali.
Hata hivyo ukara huo uraondoa kero ya vumbi kwa abiria kwenye mabehewa kwa kuwa njiayite itawekwa kokoto za kutisha ambazo hazina vumbi .
No comments:
Post a Comment