Muigizaji huyo tangu alipodai kuwa hayupo kwenye mahusiano na Harmonize, amekuwa akitumia mtandao wa Instagram kutoa ushauri kwa watu wengine kuhusu mapenzi.
Kupitia mtandao huo, Wolper ameandika kanuni hizo ambazo ni:
1. Stay faithful (kuwa mwaminifu)
2. Make them feel wanted
3. Respect your partner (muheshimu mpenzi wako)
4. Don’t flirt with others (usijitamanishe kwa wengine)
5. Make time (tenga muda)
Hiyo hapo juu ni picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao huo na kuandika, “Bila kusahau vidagaa na Kachumbari yenye ndimu ya un
No comments:
Post a Comment