Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Aga Khan wakati wa mahafali yaliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
……………….


Wahitimu wa chuo kikuu cha Aga Khan wakiwa wamekaa kwautulivu wakimsikiliza Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila katika mahafali ya chuo hicho.

Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila (wa nne kushoto) pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa.


Rais wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Firoz Rasul akikabidhi vyeti kwa baadhi ya wahitimu wa chuo hicho.


Wazazi pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Aga Khan jijini Dar es Salaam.

Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila (kulia), na Rais wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Firoz Rasul (kushoto) ,wahitimu wa Chuo kikuu cha Aga khan wakitoka katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam baada ya mahafali hayo kwisha
No comments:
Post a Comment