• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 3 February 2017

    Mama Ivan amtoa povu Roma, kisa Hela ya Madee

    Rapper Roma Mkatoliki ameonekana kukerwa na mkewe mama Ivan.
    Mkewe huyo ambaye kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @mrs_roma2030 amepost kwenye mtandao huo kipande cha video akiimba wimbo wa ‘Hela’ wa Madee na kuandika, “Mengi nimepitia nikiwaadisia wengine mtalia sana/inamengi dunia usipoangali watawakatisha tamaa..heeee/laaa @madeeali.
    Kitendo hicho kimeonekana kumuumiza Roma ambaye aliamua kutoa dukuduku lake kwa kuandika comment iliyowashangaza mashabiki, “Shobo hilo mxiuuuuuu kwa wimbo gani basi nawe ukaenda kujiiimbiiishaaaa!!!??? MXIUUU ðŸ˜‰ðŸ˜‰ wajitia kuuvalia na Ushungi mwana mkosa kazi wewe!! Kwa msanii gani basi….Msanii Maandazi huyo. Nyote namiona washamba tu. Mxiuuuuuu.”
    Lakini Mama Ivan alirudi tena kwa kuandika, “@roma2030 “Heeee makubwaaa mbona povu tena baba van? Basi naifuta isiwe tabu.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI