
Kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka baadhi ya mastaa wanaoshukiwa kujihusisha na matumizi na biashara ya madawa ya kulevya kuwasili kituo cha kati cha polisi, baadhi ya mastaa wametii agizo hilo na kuwasili kituoni hapo akiwemo Babuu wa Kitaa, Nyandu Tozzy na TID.

Pia mwanadada Wema Sepetu aliyekuwa anasubiria kwa hamu na umati wa watu uliojitokeza naye amewasili kama picha zinavyojionesha hapo chini.


No comments:
Post a Comment