JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
|
OFISI
YA WAZIRI MKUU
Anwani ya Simu: “WAZIRIMKUU” S.L.P.
3021
DAR ES SALAAM DAR
ES SALAAM
Simu Nambari 2117249/56 2Barabara ya Magogoni
Fax: 2112850
Tovuti:www.pmo.go.tz
11410 DAR ES SALAAM
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya
Waziri Mkuu inapenda kuwatangazia Umma
wa Watanzania pamoja na Wadau wake wote kwa ujumla kwamba, kuanzia Tarehe 1/2/2017 Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu itakayo tumika ni S.L.P.
980 DODOMA na SIMU: 026 2322480 Barua pepe: ps@pmo.go.tz. Badala ya Anuani ya sasa Ambayo ni S.L.P 3021 DSM.
Hii ni kutokana na Viongozi na Watendaji Wakuu
wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuhamia Makao
Makuu ya Serikali Dodoma.
Karibuni Dodoma
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI
OFISI YA WAZIRI MKUU
31/1/2017
No comments:
Post a Comment