Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na Waandishi
wa Habari kuhusu Watanzania wanaorudishwa nchini kutoka Msumbiji.
Rwegasira amesema Uhusiano kati ya Tanzania na Msumbiji unaendelea
kuimarika kila siku, hivyo aliwataka Watanzania wafuate Sheria za
Uhamiaji za nchi hiyo kwani zoezi linalofanyika nchini humo
halijawalenga Watanzania pekee bali raia wote wanaoishi na kufanya kazi
bila kufuata taratibu za kisheria nchini humo. Aidha, amewataka wananchi
kutolikuza tukio hilo bila sababu za msingi. Kikao hicho kilifanyika
katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:
Post a Comment