• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 22 March 2017

    JUKWAA LA WAHARIRI LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MAKONDA

    UKUKI
     Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena (katikati) akizungumza katika mkutano ana waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamko la vyombo vya habari la kususia kuandika habari za matukio ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ijumaa iliyopita alivamia kituo cha Clouds Media usiku akiwa na askari waliokuwa na bunduki. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Dar Press Club, Shadrack Sagati na Mjumbe wa TEF, Lillian Timbuka.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0754264203
     Meena ambaye alisoma  tamko la pamoja la TEF, Dare sSalaam Press Club na Umoja wa Vilabu vya Habari nchini akijibu moja ya maswali ya wanahabari
     Wanahabari wakiwa kazini
     Meena akifafanua jambo
     Meena akisisitiza kuwa mwandishi yeyote atakayekiuka tamko hilo kwa kwende kwenye matukio ya RC Makonda, litakalompata TEF haitahusika kwa lolote

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI