• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 22 March 2017

    BOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR


     Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon  katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam. 
     Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila
     Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa 
     Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa

     Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo
     Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji
    Wataalamu wakipima mita 20 kutka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya hifadhi ya reli zibomlewe kupisha ujenzi wa reli ya kisasa

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI