• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 22 March 2017

    NBC YAMKABIDHI GARI LAKE MSHINDI WA AKAUNTI YA MALENGO

    nbv2
    Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja Binafsi Benki ya NBC akimkabidhi fungua ya gari aina ya Toyota Hilux jipya kabisa mhindi Bw. Aldo Aidan Nsuha mfanyabiasha  wa mbao Buguruni ambaye ameshinda katika  shindano la wateja binafsi walioshiriki katika shindano la kuweka fedha katika akaunti ya Malengo linaendeshwa na benki hiyo kulia anayeshuhudia ni mkewe Bi. Zenobia Tarimo.
    mbv6
    Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja Binafsi Benki ya NBC akimkabidhi kadi ya gari aina ya Toyota Hilux jipya kabisa mhindi Bw. Aldo Aidan Nsuha mfanyabiasha  wa mbao Buguruni ambaye ameshinda katika  shindano la wateja binafsi walioshiriki katika shindano la kuweka fedha katika akaunti ya Malengo linaendeshwa na benki hiyo
    nbv3
    Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja Binafsi Benki ya NBC akizungumza wakati wa kukabidhi gari aina ya Toyota Hilux jipya kabisa mhindi Bw. Aldo Aidan Nsuha mfanyabiasha  wa mbao Buguruni ambaye ameshinda katika  shindano la wateja binafsi walioshiriki katika shindano la kuweka fedha katika akaunti ya Malengo linaendeshwa na benki hiyo kulia anayeshuhudia ni mkewe Bi. Zenobia Tarimo.
    mbv5
      Gari la Mshindi likiwa limepambwa rangi za benki ya NBC kabla ya kukabidhiwa kwa mshindi.mdv5
    Mke wa  Bw. Aldo Aidan Nsuha Bi. Zenobia Tarimo akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mumewe kukabidhiwa zawadi yao ya gari waliyojishindia kutoka benki ya NBC.
    nbv4
    Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja Binafsi Benki ya NBC akizungumza na william Kalaghe Meneja wa Mawasiliano kwa Umma NBCna  katikati ni Neema Rose Singo Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano NBC .
    nbv1
    Bw. Aldo Aidan Nsuha na mkewe  Bi. Zenobia Tarimo wakikagua gari yao mara baada ya kukabidhiwa

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI