Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba, akitoa ufafanuzi kuhusu
utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Bajeti ya mwaka wa fedha wa
uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha
kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya
kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka
huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo
Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba Yahaya anayemfuatia
wakifuatilia ufafanuzi uliokuwa ukitolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama kuhusu Oparesheni mbalimbali za
kuzuia uhalifu hapa nchini, wakati wa Kikao cha Kamati ya Bunge ya
Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti
ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni
hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi
Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano
wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Dr. Anna Peter Makakala, akiwa pamoja na watendaji wengine wa Wizara
Mambo ya Ndani ya Nchi, akimfuatilia kwa makini Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adad
Rajab wakati Mwenyekiti huyo hayupo pichani, akiwaongoza Wajumbe wa
Kamati hiyo kuipitia Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao
vya Bunge la Bjeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa
kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika
leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani
Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba, akisoma Bajeti ya Jeshi la
Polisi ya mwaka ujao wa fedha, katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya
Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti
ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ambapo kwa
siku ya leo Kamati hiyo imepitisha Bajeti za Jeshi la Polisi na Fungu
Hamsini na Moja inayobeba Idara Saidizi ndani ya wizara, ikiwa ni hatua
muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi
Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano
wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
[IGP] Ernest Mangu aliyesimama akitoa ufafanuzi kuhusu hoja mbalimbali
zilizoulizwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha
kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, huku Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu Katibu
Mkuu wake, Balozi Hassan Simba Yahaya wakimsikiliza kwa makini. Kikao
hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma
[UDOM] mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia
na Naibu Katibu Mkuu wake, Balozi Hassan Simba Yahaya wakifuatilia kwa
makini Bajeti ya Jeshi la Polisi ya mwaka ujao wa fedha, katika Kikao
cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati
wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika
Wizara hiyo, ambapo kwa siku ya leo Kamati hiyo imepitisha Bajeti za
Jeshi la Polisi na Fungu Hamsini na Moja inayobeba Idara Saidizi ndani
ya wizara, hatua ambayo ni muhimu kufikiwa kabla ya kuanza kwa Vikao
vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa
kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika
leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani
Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba, akisoma taarifa ya utekelezaji
wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa uliopita katika Kikao cha Kamati ya
Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kabla ya Mapitio ya
Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo,
ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne
mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma
.[PICHA ZOTE NA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YANCHI
]
No comments:
Post a Comment