• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 8 March 2017

    MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA PICHA MKOANI SINGIDA

     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akikata utepe kuzindua kituo na kiwanda cha kuongeza thamani mazao ya
    nafaka cha Ititi kinachomilikiwa na vikundi vya akina mama VICOBA wa
    wilaya ya Singida, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema
    Nchimbi na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa shirika la UN women
    Tanzania  Maria Karadenizli. 
     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akitazama jiwe la msingi la kiwanda na kituo cha kuongeza thamani mazao
    ya nafaka cha Ititi kinachomilikiwa na vikundi vya akina mama VICOBA wa
    wilaya ya Singida. 
     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi wakikagua hatua
    za uongezaji wa thamani wa mazao ya nafaka kama mahindi, mtama na uwele
    katika kiwanda kinachomilikiwa na kikundi cha akina mama VICOBA wa
    Wilaya ya Singida.
     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi wakikagua kiwanda
    cha mafuta  cha Mount Meru Millers kilichopo mjini Singida, kiwanda
    hicho huzalisha mafuta ya alizeti ambayo ni mazuri kwa afya.
     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akionyesha ndoo ambayo ni kifungashio cha mafuta ya alizeti
    yanayozalishwa katika kiwanda cha mount Meru millers Mkoani Singida.
     Akina mama wa Mkoa wa Singida wakipita mbele ya Waziri wa afya,
    Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu na Mkuu wa Mkoa
    wa Singida Dokta Rehema Nchimbi wakiandamana na kutoa ujumbe wa siku ya
    wanawake duniani.

     Mbunge wa Viti maalum CCM mkoa wa Singida Aisharose Matembe akiwa na
    akina mama wa Mkoa wa Singida wakipita mbele ya Waziri wa afya,
    Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu na Mkuu wa Mkoa
    wa Singida Dokta Rehema Nchimbi wakiandamana na kutoa ujumbe wa siku ya
    wanawake duniani.
     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akionyesha ndoo ambayo ni kifungashio cha mafuta ya alizeti
    yanayozalishwa katika kiwanda cha mount Meru millers Mkoani Singida.
     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akikagua kitanda cha chumba cha upasuaji katika hospitali ya rufaa ya
    Mkoa wa Singida katika maadhimisho ya siku ya  wanawake duniani.
     Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akiwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta John Mwombeki (kulia) na
    mbunge wa viti maalumu CCM mkoa wa Singida Aisha rose Matembe (kushoto)
    wakiwa nje ya jengo la utambuzi wa magonjwa la hospitali ya rufaa ya
    Mkoa wa Singida.

    Mkoa wa Singida
    Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
    akipanda viazi katika eneo la kituo na kiwanda cha kuongeza thamani
    mazao ya nafaka cha Ititi kinachomilikiwa na vikundi vya akina mama
    VICOBA wa wilaya ya Singida, kulia kwake ni Mbunge wa viti maalumu  CCM
    Mkoa wa singida Aisha rose Matembe na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi
    wa shirika la UN women Tanzania  Maria Karadenizli wa kwanza kabisa
    kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi .

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI