Ameyasama hayo katika zaira ya kuzungukia kata zote za wilaya yakigamoboni jijini dar es salaam
Ili kutatua changamoto za wilaya hiyo
Alisema:Eneo hili limekua na tatizo kwa wanachi wangu wanapata hadha k
ubwa ya mafuriko kipindi hichi cha mvua kata ina changamoto nyingi sana ikiwemo barabara katika upande wa kisota na maendeo ya maweni kumekua na tatizo ya ubovu wa barabara;Alisema diwani wa kataka hiyo
Kwa upande mwengine diwani amewataka wananchi kushirikia katika mambo mbalimbali ya kuendeleza kata hiyo na taifa kiujumla



No comments:
Post a Comment