
Kupunguza vifo vya wakina mama wakati wa kujifungua na kupata huduma bora ya afya ya kiwango cha chini kwa sasa yatapatikana kwa unafuu na bila gharama kubwa haya yaliongelewa na mh Paul Makonda kwenye hafla fupi ya ukaguzi wa jengo la hospitali jijini Dar es Salaam.
Mh Paul Makonda alisema hospitali ya mama na mtoto yenye ufadhili wa shirika la kulea [ koica] upo kwenye mkakati wa rais wetu mh John pombe magufuri kwenye ilani yake ya chama ya kila mwananchi kupata huduma bora kwa kina mama wajawazito na watoto hii hospitali itasaidia idadi kubwa ya wakazi wa Ilala na nje ya Ilala kupata uduma bora na yenye gharama nafuu.
Mh Sophia mjema DC wa Ilala alisema hospitali hii ipo kwenye ubora wa hari ya juu pia itaweza kusaidia kutoa uduma bora. Pia kutakuwa na uduma ya masaa ishirini na nne nyumba za madaktari taki brani kumi na tisa zitakuwepo ndani ya hospitali.
Dr Grace majengo mganga mkuu wa mkoa iliagiza kwa kusema hospitali hii ina uwezo wa kuhudumia wakina mama wajawazito kwa upasuaji wanne kwenye muda mmoja. Pia kubavifaa vipya vya kisasa vyenye ubora hata wale watoto ambao wamezaliwa kabda ya umri wake watalewa kwenye mtambo maharumu. Kwa uduma yoyote ya uzazi inapatikana na mashine za kisasa za ufuaji wa nguo nayo ipo yenye takribani kilo sabini.
Hospital ya mama na mtoto imeweza kutumia kiasi cha bilioni. 8.8 kilichotengwa kwa ujenzi huo.

No comments:
Post a Comment