• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 12 April 2017

    Mbunge wa tarime amekemea swala la uporaji wa ardhi katika wilaya yake

    Mh john heche Bunge wa chadema amekea swala ya upora WA ardhi katika wilaya ya tarime mkoa wa mara

    Akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam mh John heche wananchi wangu wanahofu kubwa miongoni mwao hasa hasa baada ya kuona kupitia vyombo vya habari kuwa ardhi yao imeporwa na kugawiwa kwa anaitwa mwekezaji,kinyume na utaratibu.

    Akiwa kwenye masikitiko makubwa mh. Heche akilalamika na kumtupia lawama Mkuu wa wilaya ya Tarime bwana GLORIOUS LOUGA na baadhi ya watu wanao jificha nyuma ya mtu anaye daiwa kuwa ni mwekezaji, wanatakiwa kutumia mabavu vitisho na kukandamiza watu, ili wajipatie eneo la kuweka mradi wa ujenzi wa kiwanda cha miwa.



    Mwisho alimalizia na kusema ardhi kwa watu wa Tarime ni jambo nyeti sana na urithi pekee walio nao watu wanyonge na masikini. Kwasababu idadi ya watu inaongezeka na ardhi haiongezeki kuchukua sehemu kubwa kama hiyo kutoka kwa watu wengi na maelfu ya watu na kumkabidhi mwekezaji ni sualalinalohitajika kufikiriwa na kuangaliwa kwa umakini sana kabda halija leta madhara makubwa na kama jambo hilo kweli lina manufaa kwa jamii, lifuate taratibu za kisheria na lipate uhalali wa kukubaliana kwa watu.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI